Kwahiyo mnataka kumtoa Phiri mnayemchukia kwa Mkopo ili mumlete huyo Mtogo wenu aliyekubali kutoa 10% Kwenu?

Usipende kujadili mambo yaliyo nje ya uwezo wako, lini Mgunda alifukuzwa!? Mgunda alikuwa kocha wa muda na baadae akawa msaidizi. Kwasasa kapangiwa majukumu mengine ndani ya club na hajawahi kufukuzwa. Uelewa wako mdogo baki nao lwenu na si kujaza server za JF.
 
sawa mkubwa mimi nina uelewa mdogo

vipi kuhusu utendaji kazi wa Robertinho unaridhika nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…