GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Salim Abdallah Mhene ' Try Again' Mimi GENTAMYCINE nakuonya kwa mara ya mwisho na huyu Mshambuliaji wangu Kinara na Kwangu Mimi ndiyo namba Moja Simba SC Moses Phiri akitolewa kwa Mkopo au Akiachwa kama ambavyo unapanga na Kushinikiza utanisamehe mno kwani nitaenda Kufunguka mengi yanayokuhusu na unayotufanyia wana Simba SC na mabaya uliyptufanyia wana Simba SC kwa miaka Miwili iliyopita na tukateseka na Kuchekwa mno na wana Yanga SC.
Poti wangu Kaka Crescentius Magori najua Unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nakuomba mfikishie Uzi wangu huu Try Again kwani tumeshamvumilia vya Kutosha na asije Kunilaumu / Kutulaumu tunaomjua na tunayoyajua ndani ya Simba SC.
Na huyu Kocha wenu Roberto Oliveira mwambieni aendelee tu kutupangia John Boko wake Mzee, Mcheza Rafu na Aliyechoka huku akimuacha Mshambuliaji Bora na aliyezaliwa Kufunga Magoli Moses Phiri kwa Kupandikizwa Chuki na Kiongozi Mpuuzi ( Mzee wa 10% ) niliyemtaja na Kumuonya hapa.
Na mwambieni Kocha wenu kwa Upuuzi wake huu ama Nyerere Day au Christmas anaweza akakuta zinamkutia Kwao Jijini Rio De Jeneiro na Mswahili Mwenzetu wa Tanga akaliongoza Jahazi.
Phiri mnamchukia Kawakosea nini???