GE2025 Kwahiyo mtu akila kichapo kwenye 'Knockout ya Mama' ndio inamaanisha Rais Samia kawakung'uta wapinzani wake?

GE2025 Kwahiyo mtu akila kichapo kwenye 'Knockout ya Mama' ndio inamaanisha Rais Samia kawakung'uta wapinzani wake?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Mi nauliza tu swali, mlianza kwenye comedy hadi mkampa tuzo, na wakasema mama ndio mchekeshaji wa kwanza😂😂 haya tukatulia.

Sasa kwenye Knockout ya Mama mtu akila kichapo inamaanisha kala kichapo kwaajili ya mama, au mama kala kichapo au walioshinda ndio wameshinda kwaajili ya Samia?

Mwisho hadi sielewi nimeandika nini🤣🤣 ila machawa mna kazi, bila kujitoa akili hii kitu huwezi kufanya aisee🥲🥲

johnthebaptist na Lucas Mwashambwa embu mtutudadavulie basi, au ndio inamaanisha vile mama atawabaragaza wapinzani wake?😃😃
 
Mtoto wa Shule uje kujibu hoja huku.

Mnaposemq knockout ya mama huwa mnamaanisha nini? Au mnataka mama yenu apigwe?
 
Kaeni kwa kutulia maana naona mmechanganyikiwa na hamuelewi mshike lipi na muache lipi baada ya kuona CCM inaendelea kuchanja Mbuga mioyoni mwa watanzania. Kwa kuendelea kukubalika, kupendwa na kuaminika. CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania ndio maana kila mtu yupo Bize na habari za CCM
 
Inachanja bunga au inacharanga Katiba vipande vipande?:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:
 
KWA mara ya Kwanza wajumbe WA HK Taifa wamepigiwa Kura . NI kipi hakiwezekani Tz.

Tusubiri wataolalamika jumatatu
 
Back
Top Bottom