Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Huo msemo sijawahi kuusikia.Mtoto wa Shule uje kujibu hoja huku.
Mnaposemq knockout ya mama huwa mnamaanisha nini? Au mnataka mama yenu apigwe?
Inachanja bunga au inacharanga Katiba vipande vipande?Kaeni kwa kutulia maana naona mmechanganyikiwa na hamuelewi mshike lipi na muache lipi baada ya kuona CCM inaendelea kuchanja Mbuga mioyoni mwa watanzania. Kwa kuendelea kukubalika, kupendwa na kuaminika. CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania ndio maana kila mtu yupo Bize na habari za CCM
Mwaka huu mtabubujikwa na machozi ya furahaInachanja bunga au inacharanga Katiba vipande vipande?
Sisi huku raha tuu, shida nyie mnaofululiza kububujikwa machozi ya huzuniMwaka huu mtabubujikwa na machozi ya furaha
Si ndio, yaani wametabiri mama aatatolewa kwa knockout dk za mapema kabisaaaMtoto wa Shule uje kujibu hoja huku.
Mnaposemq knockout ya mama huwa mnamaanisha nini? Au mnataka mama yenu apigwe?