Kwahiyo mwezi wa saba nchi inaenda kuzalisha mamilionea

Kwahiyo mwezi wa saba nchi inaenda kuzalisha mamilionea

Mr. Tutor

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
1,176
Reaction score
2,895
Moja kwa moja kwenye mada. Kama inavyojulikana pension ya mbunge mmoja ni zaidi ya milioni 250 na huwa wanapewa kwa mkupuo hawana kikokotoo wala kikakataa. Hivyo kama kila mbunge akipokea kitita chake mapema mwezi Julai mwaka 2025 baada ya kuvunjwa bunge, ina maana hapo kuna mamilionea 400+ wanaingia mtaani.
Kama nchi tumepiga hatua au nini maoni yako?
Ahsanteni!
 
Tanzania ni moja ya nchi yenye watu wajinga sana hapa Duniani...

Mtanzania ni mtu mnafiki, muoga, mfitinishi, mchawi, snitch, Chawa, asiyependa maendeleo.... yani acha tu wajichotee
 
Tanzania ni moja ya nchi yenye watu wajinga sana hapa Duniani...

Mtanzania ni mtu mnafiki, muoga, mfitinishi, mchawi, snitch, Chawa, asiyependa maendeleo.... yani acha tu wajichotee
Anachota 250+ mwezi wa kumi na moja anarudi tena bungeni kuendeleza safari
 
Back
Top Bottom