Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
Derogations John Paschal Ndejembi ni kijana mdogo kiumri. Lakini nimemsikiliza kwa makini aonekana ni kijana aliewiva kisiasa.
Hayati Mwalimu Nyerere alipokabidhiwa nchi na Sir Edward Twinning kuongoza Tanganyika huru mwaka 1961 alikuwa na umri wa miaka 39.
Leo hii Ndejembi anakuwa makamu wa raisi akiwa na umri wa miaka 43, miaka minne zaidi ya Hayati Nyerere kwa muktadha wa kushika nafasi ya juu ya uongozi wa nchi.
Je hii ndo logic ya CCM kwamba Ndejembi amekomaa kisiasa na aweza kushika nafasi ya uraisi wakati wowote litapotokea jambo lolote la dharura kwa mujibu wa katiba?
Au je kwa Ngejembi mwenyewe, huo ndo mwisho wa matamanio yake binafsi (ambitions) kwenye siasa za nchi hii.
Nauliza hivyo kwasababu ikifika 2030 katiba hairuhusu makamu kuanza michakato ya nafasi zingine za uongozi, rejea yalomkuta aliekuwa makamu.
Au tu ni kwamba sasa CCM imeamua twaenda na vijana? Na pia ipo tiyari zipigwe sarakasi za Yale ya 2025 kumpata mgombea?
Na je Makamu wa raisi Ndejembi ana credentials za kutosha za kujitosheleza huko kwa wenye dunia?