Kwahiyo Ndejembi hana matamanio ya kuja kuwa Rais? Je, anamsindikiza tu Rais amalize ngwe au?

Kwahiyo Ndejembi hana matamanio ya kuja kuwa Rais? Je, anamsindikiza tu Rais amalize ngwe au?

Matamanio huja pale tu unapoanza kulewa madaraka. Hivyo mpe muda.
 
Heshima, mkuu 'Richard', labda nikukumbushe mambo ambayo pengine unaysahau.
Wewe unazungumzia "Katiba", ambayo ni makaratasi, na ukijuwa waziwazi kuwa hao unaowazungumzia wapo kwenye madaraka kinyume kabisa na hiyo Katiba unayoizungumzia wewe!

Pili, kama waTanzania itashindikana kuwawajibisha hawa viongozi haram unaowazungumzia wewe kwa heshima kubwa, Samia unaye hadi Mungu mwenyewe aamue. Hiyo 2030 unayoisema wewe ni kujisahaulisha tu mambo yanavyokwenda.

Unamjuwa mtu anayeitwa Yoweri Museveni?. Basi juwa kwamba hiyo ndiyo 'model' halisi inayotumika hapa.

Lakini ukitaka maoni yangu, nitakwambia kuwa waTanzania hawawezi kuruhusu hiyo 2030 au hizo ngonjera za akina Ndejembi unaojaribu kuwapamba hapa.

Tanzania Mpya inakuja! Na CCM na uchafu wake wote hawamo kwenye picha hiyo.
Hapana mkuu Kalamu, hujanielewa tu.

Mie bado nipo kwenye mshangao wa namna nchi yetu inavyokwenda na tulipofikia.

Sipo kabisa katika kuunga mkono uhuni unoendela kufanywa kwa watanganyika.
 
Huh?

Kwa hiyo umeshakubali na kusalimu amri kuwa CCM itatawala milele?
Siwezi kusema watatawala milele, lakini kwakuwa vyombo vya Dola vipo upande wao sioni wakiondolewa hivi karibuni


Na mwezi ujao si wanamfunga TAL, kwahiyo watakuwa wamezika movements zote za harakati
 
Mtu yeyote, hata awe mwema, kuingizwa tu kwenye utawala huu haramu wa mauaji, nawe unakuwa umechafuliwa.
 
Politicians always look for the next big thing. CCM haijawahi kuacha kuwa na sarakasi inapofika hatua ya kupata mgombea mpya wa Urais.
 
Nimerudia mara mbili mbili hii paragraph!!

"Kwa mujibu wa Katiba"
Sasa hivi YOTE CCM ifanyayo ni kwa mujibu wa katiba yao.

CCM Ina haki kabisa ya kufanya watakavyo na katiba yao.

Kinotakiwa ni katiba mpya inotokana na katiba ya Tanganyika.

Hata juzi tu raia wa Iceland wamepiga kura ya maoni kukataa nchi yao kuingia Umoja wa Ulaya.

Katiba ya Iceland imeielekeza serikali kutekeleza haki ya kusikilizwa maoni ya wananchi na kwamba maoni hayo ni lazima yaheshimiwe.

Tanganyika yataka katiba mpya.
 
Huh?

Kwa hiyo umeshakubali na kusalimu amri kuwa CCM itatawala milele?
They (CCM) are prepared to kill anyone coming their way, unfortunately they do so without any accountability. Look at what happened last election and they claim the government (state appatus) has done good job! Ccm ni changamoto nchi hii.
 
Back
Top Bottom