Kwahiyo Ndugai na Chamuriho ndio mliutaka Urais miaka 2 iliyopita?

Watu wanaojinadi wameridhiana Ili Nchi itulie, ndo hao Kila kukicha wanaotukana na kudhalilisha wengine.

Kuna kitu mnakitafuta, Si Bure.

Magufuli alikuwa mjinga , alidhani atauua Upinzani kwa kufanya intimidation, wajanja wanafanya maridhiano Kama nchi. Kuna shida wapi tukubaliane. Yeye akatumia watu wasio julikana kuuminya Upinzani na kuua wakosoaji
 
Magufuli alikuwa mjinga , alidhani atauua Upinzani kwa kufanya intimidation, wajanja wanafanya maridhiano Kama nchi. Kuna shida wapi tukubaliane. Yeye akatumia watu wasio julikana kuuminya Upinzani na kuua wakosoaji
Magu alikuwa MKWELI,

Alikuta vyama vya upinzani vimo kwenye payrol ya Serikali,

Viongozi waandamizi wanalipwq na wanafanya KAZI CCM, yule hakutaka ujinga.

Alitufumbua macho wananchi ndomana ckuiz haipo hamasa na mihemko Kwa vyama vya siasa.

Wanachama wa CDM Kuitikia CCM hoyeeeeee kwenye mkutano wa CDM ndo kuimarika Kwa upinzani?
 
Kama infrastructure Marais wote wamejenga, yeye sio wa kwanza. Legacy aliyoiacha ni kuuwa Raia wake na kuwatupa kwenye viroba.
Una ushahidi? Kwa hiyo kila atakayekutwa amekufa bila kujulikana aliyeua basi tuendelee kuamini ameua na Rais au kwa maagizo ya Rais aliyepo madarakani?
 
Fact check:
1. Utekaji haukuanza wakati wa magufuli Bali uliendelezwa
2. kuficha pesa China au Canada? Labda huzijui hizo nchi. Watu wafaficha pesa Switzerland , cook island, Belize etc
3. blabla bila evidence
 
Acha uongo wee chawa, magufuri alikuwa mshamba wa demokrasia..hakutaka kukosolewa ..kama viongozi wa upinzani walikuwa wanalipwa na ccm, kwnn alitumia nguvu kuwanunua???
 
Acha uongo wee chawa, magufuri alikuwa mshamba wa demokrasia..hakutaka kukosolewa ..kama viongozi wa upinzani walikuwa wanalipwa na ccm, kwnn alitumia nguvu kuwanunua???
Wadanganye hao hao,

Viongozi wengi wa upinzani wanapokea maelekezo Kutoka pale Mgaso.

Ukombozi wa Kweli unakuja, hautaletwa na Mbowe Wala Lisu.
 
Hakimbii mtu, ukileta ujinga wa Magu karma inakuondoa moja kwa moja. Nchi ni ya watanzania sio kundi la watu wachache. Huwezi kuongoza watu Kama watoto wako nyumbani. Stupid magufuli
Karma hiyo ya kwako wewe inachagua kumuondoa Magu tu eh? Waliomuondoa Magu wao hawana karma? Tulia bwamdogo ujionee usiyoyatarajia
 
Hata uongee vipi,huyu beans anapendea saaaàaaaana na watz ukitaka Amini ngj uchaguzi ufike,atakayetembelea nyota yake ndiye atakuwa Rais ukitaka Amini msikie ht mama huwezi sikia akisema bays lolote la JPM nyie kunguni jidanganyeni hatutaacha kumkumbuka,sasa hatuna maji,umeme unakatika hvy bidhaa zipo juu tumpendee nn huyu mzurulaji na muogopa wazungu wa ushoga,hujiuliz Kwa nn hazungumzii mashoga
 
Tupiganie ipatikane KATIBA MPYA sasa, vinginevyo hali hiyo inaweza kurejea tena
 
Hizi Hekaya za Magufuli zikishaisha sijui mtatuambia nini Tena??
 
Kwani aliondoka na mashabiki wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…