Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Nuhu alikuwa mtu safi mbele za Mungu akaambiwa ajenge safina, alipomaliza kazi akamwagilia moyo.Pombe inasababishaje usengenyaji, unafki?
Sasa huyu mlokole anaye ombewa "pokea pesa pokea pesa" anakuja kusema pombe ni dhambi