Kwahiyo ninyi Walokole mliona pombe ndiyo dhambi kubwa kuliko zote?

Tunapokosana na walokole ni kwenye mgogoro wa Israel na Iran.

Eti "Israel ni taifa teule la mungu...."

Ngoja nitulie maana nitaharibu.
 
Binafsi nina experience sio nzuri na wafia dini.. ni watu wamejaa unafki sanaa, wanajifanya kupinga pombe wakati wao wanafanya usengenyaji, uongo, unafiki, uzinzi nkโ€ฆ dhambi ni dhambiโ€ฆ ukikemea kemea zote
Exactly ๐Ÿ’ฏ na wanapenda sana kujifanya spesho
 
Pombe siyo dhambi ...dhambi ni ulevi ..pombe ni kama chakula tu kula chakula siyo dhambi bali ulafi ni dhambi sawa na ulevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ