Tujuzwe bhana..inawezekana nchi kweli ni tajiri sanaWewe utakua beberu mwenzangu 😂😂
🤣🤣🤣 Comrade maiti itavalishwa yale mabuti na magloves na kusafirishwa hadi kijijini kwa marehemuVijana wa ufipa mnamatatizo ya kuelewa mambo, jambo dogo tu mnahitaji lekcha kabisa.
Comrade hatupingi tupe ufafanuzi tu marehemu atakavyovalishwa gloves na maskKila kitu mnataka kupinga?
Mkuu unashangaa nini NADHANI unavyoelewa wewe ni hivyo umesahau Mara ya mwisho alisema famigesheni ni kwa ajili ya kuua viroboto vya mbuAmesema maiti zivalishwe PPE kisha zisafirishwe hebu wataalamu wa haya mambo nisaidieni huyu Mh wetu hapa anamaanisha nini?....Je mimi ndo sielewi au yeyendo anazidi kutuonyesha jinsi gani haelewi mambo anayojipambanua kuyaelewa kwa undani?
Kama Ameweza kutamka tu bila kufikiri, kwamba Danieli alikua kwenye tumbo la samaki na kwenye tundu la moto,je hawezi kutamka neno lolote hata lenye madhara bila kufikiri??? Kama unauelewa nisaidie kunipanua akili...KAMA UNAJIJUA WEWE NI KOPO TUPU, lala tu usijihangaishe hii mada haikuhusu.
Kuuliza sio kosa mkuu, mtakatifu wenu mnamlinda wanavyomlinda yule wa korea kaskazinKila kitu mnataka kupinga?
Comrade hatupingi tupe ufafanuzi tu marehemu atakavyovalishwa gloves na mask
kwamba maiti anakohoa na kupiga chafya. ?Hata maiti ukimvalisha barakoa, inatosha.
🤣🤣🤣Mimi sio daktari