Kwahiyo Rais Magufuli anataka Maiti zianze kuvalishwa Gloves, Masks, protective glasses na boots?

Hello..
IMG_20200418_075403.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli swala la maiti kuvishwa PPE wakati wauguzi wetu wako kwenye hatari hawana vifaa linanitafakarisha sana
 
Amesema maiti zivalishwe PPE kisha zisafirishwe hebu wataalamu wa haya mambo nisaidieni huyu Mh wetu hapa anamaanisha nini?....Je mimi ndo sielewi au yeye ndio anazidi kutuonyesha jinsi gani haelewi mambo anayojipambanua kuyaelewa kwa undani?

Kama ameweza kutamka tu bila kufikiri, kwamba Danieli alikua kwenye tumbo la samaki na kwenye tundu la moto,je hawezi kutamka neno lolote hata lenye madhara bila kufikiri??? Kama unauelewa nisaidie kunipanua akili...KAMA UNAJIJUA WEWE NI KOPO TUPU, lala tu usijihangaishe hii mada haikuhusu.
Wivu tu hata kuandika propaganda ya namna yoyote ile ukweli utabaki kuwa Magufuli ndiye Rais na ataendelea kwa awamu nyingine huku mkishuhudia mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya serikali anayoiongoza

Waliowashikia akili kwao n wazalendo waaminifu sana wanahemishi selikali za nchi zao

Umezaliwa tanzania utafia tanzania kuwa mzalendo Linda maslahi ya nchi yako
 
Amesema maiti zivalishwe PPE kisha zisafirishwe hebu wataalamu wa haya mambo nisaidieni huyu Mh wetu hapa anamaanisha nini?....Je mimi ndo sielewi au yeye ndio anazidi kutuonyesha jinsi gani haelewi mambo anayojipambanua kuyaelewa kwa undani?

Kama ameweza kutamka tu bila kufikiri, kwamba Danieli alikua kwenye tumbo la samaki na kwenye tundu la moto,je hawezi kutamka neno lolote hata lenye madhara bila kufikiri??? Kama unauelewa nisaidie kunipanua akili...KAMA UNAJIJUA WEWE NI KOPO TUPU, lala tu usijihangaishe hii mada haikuhusu.
Ana maana kuwa wazikaji wawe na PPE na maiti iwe sealed na plastic sheet vile waliofariki na ebola/chelera wanavyofalishwa na kuzikwa.
 
Amesema maiti zivalishwe PPE kisha zisafirishwe hebu wataalamu wa haya mambo nisaidieni huyu Mh wetu hapa anamaanisha nini?....Je mimi ndo sielewi au yeye ndio anazidi kutuonyesha jinsi gani haelewi mambo anayojipambanua kuyaelewa kwa undani?

Kama ameweza kutamka tu bila kufikiri, kwamba Danieli alikua kwenye tumbo la samaki na kwenye tundu la moto,je hawezi kutamka neno lolote hata lenye madhara bila kufikiri??? Kama unauelewa nisaidie kunipanua akili...KAMA UNAJIJUA WEWE NI KOPO TUPU, lala tu usijihangaishe hii mada haikuhusu.
Hukumuelewa Rais. Nikueleweshe,Rais alisema kwanini wahudumu wa afya hawakuvaa hizo PPE ili wamuandae ili kumpeleka kwao moshi? Hakusema mwili uvalishwe PPE.
 
Nadhani rais alimaanisha kwanini mait zisivalishwe air tight plastic bag mfano wa zile zinatumika kuzikia wagonjwa wa ebola.

Pia kuna hizi plastic bag zinazalishwa na A-Z Arusha kwa aijili ya kuhifadhi mazao nadhani zinaweza kuongezewa urefu na zikafaa pia kwa kazi hiyo maana nazo ni air tight pia ni transparent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa na maana maiti angevishwa plastic bag,,kwa msioijua huwa Kuna mifuko maalumu ya kuhifadhia maiti,anawekwa humo Kisha mfuko unakuwa sealed
 
Back
Top Bottom