Kwahiyo Rais Magufuli anataka Maiti zianze kuvalishwa Gloves, Masks, protective glasses na boots?

Njemba ina akili nzito hii .....
wafanya biashara wameshaona fursa hapo
mavazi maalum ya kuvesha
ambayo yatakuwa verified na mamlaka husika
yanakuja kwa ajili ya shughuli ya kuhifadhi na kusafirisha....
muwe mnajiongeza jamani msikubali kuwa viraka
 
Mh alinishangaza aliposema anawashangaa viongozi dini waliofunga makanisa(ibada) na misikiti ,na kumpongeza mufti kwa kumhakishishia waislamu watafunga ramadhani.ramadhani haileti msongamano ni sawa.tofauti ibada haviusiani hizo pongezi za Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi ana sense of humor, msiokuwa na sense of humor mnahangaika sana kumwelewa magufuli. He has a dry sense of humor.
By the way alimaanisha kama ambavyo madaktari wanavaa wakiwahudumia wagonjwa wa corona ndivyo ambavyo wangevaa wakisafirisha hiyo maiti ya DC, ikibidi wangeifunga si ni moja tu

Hajamaanisha maiti zote Tanzania, maiti hiyo ambayo ingetakiwa kusafirishwa iliyokufa kwa Corona. Ni wangapi wamekufa kwa Corona? Kumi na sita tu. Kwani walitakiwa kusafirishwa?! Hapana wamefia maeneo ya kwao na hakukuwa na haja ya kusafirishwa na hivyo hakuna haja ya kufungwa hivyo vifaa.

Na kwa maana hiyo basi alimaanisha DC au labda na mwingine atakaekufa kwa Corona akahitaji kusafirishwa kama itabidi atafungwa hizo naamini wa aina hiyo ya kusafirishwa hata ishirini hawatafika na huenda wasipatikane kabisa.
 
Hakuwa anaongea na watu kama wewe.
Alikuwa anaongea na wataalamu ili wafunge maiti kama soseji.
Kalale!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mavazi ni very expensive na ni adimu.

Sasa tukianza kuwavisha maiti, wahudumu wetu wa afya si watapungukiwa vitendea kazi kwenye kuwahudumia wagonjwa wa korona?
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Maiti zinaambukiza na inataka uangalizi mkubwa sana
Kuna clip ya Italy niliiona maiti zinavyozungushiwa shrink wrap na kuwa sealed kabisa kuanzia kichwa mpaka miguu
Labda tunahitaji hiyo mashine ya kuwafunga

Kama hujaona maiti wanavyoteseka angalia na Ecuador jinsi ndugu wanasubiri maiti za wapendwa zichukuliwe na serikali bila mafanikio wengine wamesubiri mpaka wiki
Mwisho wameamua kuziweka nje na kusubiri in vain
Wengine wameamua kutelekeza maiti mitaani
Imagine huwezi kuzika unaamua kusubiri serikali ije na hawaji




Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mungu wangu.. Tuepushie hill balaa

Jr[emoji769]
 
Namuunga mkono Rais, Vyovyote iwavyo maiti Lazima isafirishwe irudishwe kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…