Hapo umemueleaa mtoa Mazda umecheeka harafu kwenye keyboard umeandika hili just for you 7tau!Vijana wa ufipa mnamatatizo ya kuelewa mambo, jambo dogo tu mnahitaji lekcha kabisa.
Tatizo la kuzoea NDIYOOooo!Vijana wa ufipa mnamatatizo ya kuelewa mambo, jambo dogo tu mnahitaji lekcha kabisa.
Tatizo la kuzoea NDIYOOooo!Vijana wa ufipa mnamatatizo ya kuelewa mambo, jambo dogo tu mnahitaji lekcha kabisa.
Anaongelea Corpse's Bags ambazo sidhani kama zinapatika kirahisi hivyo.Tumeshidwa kuwa na PPE kwa wahudumu wa afya,ndiyo hizi bags?Tunawavalisha maiti wepi hao maana mkuu anaamini hakuna Corona?Amesema maiti zivalishwe PPE kisha zisafirishwe hebu wataalamu wa haya mambo nisaidieni huyu Mh wetu hapa anamaanisha nini?....Je mimi ndo sielewi au yeye ndio anazidi kutuonyesha jinsi gani haelewi mambo anayojipambanua kuyaelewa kwa undani?
Kama ameweza kutamka tu bila kufikiri, kwamba Danieli alikua kwenye tumbo la samaki na kwenye tundu la moto,je hawezi kutamka neno lolote hata lenye madhara bila kufikiri??? Kama unauelewa nisaidie kunipanua akili...KAMA UNAJIJUA WEWE NI KOPO TUPU, lala tu usijihangaishe hii mada haikuhusu.
Maabara wanapima Corona Viral DNA PCR,kisayansi hiyo analyser haiwezi kureact kwenye papai.Nchi hii ina madaktari Bingwa, inachama cha Madaktari mpaka muda huu hawajajitokeza kutuchambulia katika kipengele cha hotuba ya Rais alivyosema Kifaa kilichotengezewa mahususi kupima virus vya corona vinaweza kupima Mapapai na kikatoa majibu ya kweli?
Kifaa hicho cha kitaalamu kilichotengenezwa kwa kuzingatia vinasaba vya mwanadamu kinaweza kutumika kupima Oil za magari kupima Corona
Wivu tu hata kuandika propaganda ya namna yoyote ile ukweli utabaki kuwa Magufuli ndiye Rais na ataendelea kwa awamu nyingine huku mkishuhudia mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya serikali anayoiongoza
Waliowashikia akili kwao n wazalendo waaminifu sana wanahemishi selikali za nchi zao
Umezaliwa tanzania utafia tanzania kuwa mzalendo Linda maslahi ya nchi yako
sawa kulingana nahotuba tulitegemea professionals kuwa mstari wa mbele kuelezea kinaga ubaga na juu ya uzalendo wao pia licha ya changamoto lukuki walizo nazo kipindi hiki walipaswa kufarijiwa na si vinginevyo hyo inatuaminisha kuwa kuna tatizo mahali ......Maabara wanapima Corona Viral DNA PCR,kisayansi hiyo analyser haiwezi kureact kwenye papai.
Ni wivu tuUsilazimishe kila mtu ashikiwe akili kama wewe...watu wa kaliba yako ndo chanzo cha umasikini Tanzania. Mimi nimeuliza swali na inaonekana kwako limekua gumu sana kung'amua unaanza kuleta porojo hapa...Jipu swali kama huwezi angalia sentensi yangu ya mwisho kwenye mada.
Serikali itawanunulia au yatanunuliwa na hawa wabangaizaji wanaoshindwa kununua mask ya shilingi 3000?Njemba ina akili nzito hii .....
wafanya biashara wameshaona fursa hapo
mavazi maalum ya kuvesha
ambayo yatakuwa verified na mamlaka husika
yanakuja kwa ajili ya shughuli ya kuhifadhi na kusafirisha....
muwe mnajiongeza jamani msikubali kuwa viraka
pHd holderAmesema maiti zivalishwe PPE kisha zisafirishwe hebu wataalamu wa haya mambo nisaidieni huyu Mh wetu hapa anamaanisha nini?....Je mimi ndo sielewi au yeye ndio anazidi kutuonyesha jinsi gani haelewi mambo anayojipambanua kuyaelewa kwa undani?
Kama ameweza kutamka tu bila kufikiri, kwamba Danieli alikua kwenye tumbo la samaki na kwenye tundu la moto,je hawezi kutamka neno lolote hata lenye madhara bila kufikiri??? Kama unauelewa nisaidie kunipanua akili...KAMA UNAJIJUA WEWE NI KOPO TUPU, lala tu usijihangaishe hii mada haikuhusu.