Kwahiyo sasa iitwe Mirembe Ummy Mwalimu Mental Hospital au?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema anatamani kubadilisha jina la Hospitali ya Magonjwa ya Akili la Mirembe kwa sababu watu wanaoenda katika hospitali hiyo wanaonekana kama ni 'machizi'.

Chanzo: Clouds Media

Yaani Waziri mzima tena wa Wizara Nyeti na Muhimu kwa Ustawi wa Afya za Wanadamu akina GENTAMYCINE unaacha Kupiga Kelele Mgawo wa Maji usiwepo kwa Mkoa uliosongamana kama huu wa Dar es Salaam Ili Magonjwa ya Milipuko yasitokee Wewe Unahangaika na Jina la Hospitali ya Wendawaimu Mirembe.

Tafadhali hebu acha Kutulazimisha tuanze Kuamini kuwa huenda nawe ( Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ) unatakiwa haraka sana utafutiwe Kitanda chako 'Spesheli' hapo Mirembe Mental Hospital Mkoani Dodoma Ili uanzishiwe Matibabu ya haraka.
 
Hya ndo Yale Yale ya Pinda kutaka kubadilisha Jina la Kijiji alicholowea Hapo Cha zuzu. Dodoma kunani?wenyeji wakamkatalia...
 
Yaani Waziri mzima tena wa Wizara Nyeti na Muhimu kwa Ustawi wa Afya za Wanadamu akina GENTAMYCINE unaacha Kupiga Kelele Mgawo wa Maji usiwepo kwa Mkoa uliosongamana kama huu wa Dar es Salaam Ili Magonjwa ya Milipuko yasitokee Wewe Unahangaika na Jina la Hospitali ya Wendawaimu Mirembe.

Tayari na wewe kichaa kimeshakupata
wahi haraka ukapate tiba Mirembe
Ummy ni Waziri wa Afya sio Waziri wa maji

Mambo ya maji yana Waziri wake

Ummy njoo mchukuae mgonjwa wako wa akili huyu aliyeehuka mleta mada umpeleke Mirembe Uje na pingu za kumfunga mikononi na miguuni
 
Tokea 'Maliwato' yako ianze Kutumika kinyume na Maandiko ya Mwenyezi Mungu na Vitabu vyake Vitakatifu umekuwa ni Mpumbavu kuliko Maelezo.
 
Kwani kwa sasa inajulikana na bango la utambulisho limeandikwa "Hospitali ya Vichaa" au "Hospitali ya magonjwa ya akili"

ikiwa imeandikwa ya vichaa mmmh....lakini kama imeandikwa "magonjwa ya akili" anataka kubadilisha nini?
 
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema anatamani kubadilisha jina la Hospitali ya Magonjwa ya Akili la Mirembe kwa sababu watu wanaoenda katika hospitali hiyo wanaonekana kama ni 'machizi'.

Chanzo: Clouds Media

Yaani Waziri mzima tena wa Wizara Nyeti na Muhimu kwa Ustawi wa Afya za Wanadamu akina GENTAMYCINE unaacha Kupiga Kelele Mgawo wa Maji usiwepo kwa Mkoa uliosongamana kama huu wa Dar es Salaam Ili Magonjwa ya Milipuko yasitokee Wewe Unahangaika na Jina la Hospitali ya Wendawaimu Mirembe.

Tafadhali hebu acha Kutulazimisha tuanze Kuamini kuwa huenda nawe ( Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ) unatakiwa haraka sana utafutiwe Kitanda chako 'Spesheli' hapo Mirembe Mental Hospital Mkoani Dodoma Ili uanzishiwe Matibabu ya haraka.
Wewe unadhani kuna Waziri yuko serious nchi hii.
 
Back
Top Bottom