To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Ha ha haaa😂😂😂😂😂 Mungu anakuona GENTAMYCINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaa😂😂😂😂😂 Mungu anakuona GENTAMYCINE
Anahangaika na majina huyuUmeacha Beesmom
Anahangaika na majina huyu
Easy bro....ni Mimi not uAnahangaika na majina huyu
Sawa mkuu Rwigyema Kalemera Mazimpaka Kadogo Kasungura ,nilijisahau kidogo nilijua nipo Chitchat nitarudi kuchangia mada.
Wendawaimu Mirembe.
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema anatamani kubadilisha jina la Hospitali ya Magonjwa ya Akili la Mirembe kwa sababu watu wanaoenda katika hospitali hiyo wanaonekana kama ni 'machizi'.
Chanzo: Clouds Media
Ni vyema atueleze ni namna gani hilo Jina limeathiri utoaji wa Huduma......Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema anatamani kubadilisha jina la Hospitali ya Magonjwa ya Akili la Mirembe kwa sababu watu wanaoenda katika hospitali hiyo wanaonekana kama ni 'machizi'.
Chanzo: Clouds Media
Yaani Waziri mzima tena wa Wizara Nyeti na Muhimu kwa Ustawi wa Afya za Wanadamu akina GENTAMYCINE unaacha Kupiga Kelele Mgawo wa Maji usiwepo kwa Mkoa uliosongamana kama huu wa Dar es Salaam Ili Magonjwa ya Milipuko yasitokee Wewe Unahangaika na Jina la Hospitali ya Wendawaimu Mirembe.
Tafadhali hebu acha Kutulazimisha tuanze Kuamini kuwa huenda nawe ( Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ) unatakiwa haraka sana utafutiwe Kitanda chako 'Spesheli' hapo Mirembe Mental Hospital Mkoani Dodoma Ili uanzishiwe Matibabu ya haraka.
Sasa hivi hatutakiwi kukaripiana.Wewe unadhani kuna Waziri yuko serious nchi hii.
Huyu mwenyewe atakuwa ana tatizo la akili si bure.Kwani neno mirembe linamaanisha ukichaa?
Hata hilo jina jpya litasadifu huduma inayotolewa hapo.
Paswa sio pazwaNimemshangaa Sana waziri yule
Ila mkuu unapazwa Sasa na wew ufikishwe pale
Nawe hujaanzisha uzi ili mawivu yakujae hasa wenzako wanapopata pale ambapo wewe uligonga ukuta. Mwache adriz ajipatie K ya Bure! After all hizi K kila mtu huwa anapata kwa wakati wake. Siku ingine ni wewe utabebeshwa na To yeye ! Kaza uzi
Yule BabaAlitaka Kiitwe Jina GaniHya ndo Yale Yale ya Pinda kutaka kubadilisha Jina la Kijiji alicholowea Hapo Cha zuzu. Dodoma kunani?wenyeji wakamkatalia...
Nimeshadindisha Dia uko wapi sasa?Nashangaa,anatakiwa awe mstahimilivu....nitampa 😂 😂
Comments za ivi watu wako hawazitaki....washakuzoea kwenye siasa....watakupopoa sasa iviNimeshadindisha Dada uko wapi sasa?