GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Likiitwa hivyo lisipobomoka ndani ya Wiki Moja kwa Makusudi tena Mubashara Mchana kweupe naenda Kukojoa Geti Kuu za Majumba meupe Mawili la Magogoni na ni lile la Chamwino.kuna pendekezo kutoka kwa wananchi wa maeneo ya daraja jipya la Wami liitwe Shaka Hamdu Shaka Bridge