GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Hya ndo Yale Yale ya Pinda kutaka kubadilisha Jina la Kijiji alicholowea Hapo Cha zuzu. Dodoma kunani?wenyeji wakamkatalia...Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema anatamani kubadilisha jina la Hospitali ya Magonjwa ya Akili la Mirembe kwa sababu watu wanaoenda katika hospitali hiyo wanaonekana kama ni 'machizi'.
Chanzo: Clouds Media
Yaani Waziri mzima tena wa Wizara Nyeti na Muhimu kwa Ustawi wa Afya za Wanadamu akina GENTAMYCINE unaacha Kupiga Kelele Mgawo wa Maji usiwepo kwa Mkoa uliosongamana kama huu wa Dar es Salaam Ili Magonjwa ya Milipuko yasitokee Wewe Unahangaika na Jina la Hospitali ya Wendawaimu Mirembe.
Tafadhali hebu acha Kutulazimisha tuanze Kuamini kuwa huenda nawe ( Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ) unatakiwa haraka sana utafutiwe Kitanda chako 'Spesheli' hapo Mirembe Mental Hospital Mkoani Dodoma Ili uanzishiwe Matibabu ya haraka.
Umeacha BeesmomVyovyote ili mradi huduma ipatikane
Welcome homeNdio mkuu
Hii inchi ngumu sana 😆😆Ha ha haa,it's me mkuu
Ha ha haaHii inchi ngumu sana 😆😆
Salama tu sijui wewe huko.Merudi kwenye jina langu,umeamkaje lakini
Yaani Waziri mzima tena wa Wizara Nyeti na Muhimu kwa Ustawi wa Afya za Wanadamu akina GENTAMYCINE unaacha Kupiga Kelele Mgawo wa Maji usiwepo kwa Mkoa uliosongamana kama huu wa Dar es Salaam Ili Magonjwa ya Milipuko yasitokee Wewe Unahangaika na Jina la Hospitali ya Wendawaimu Mirembe.
Tokea 'Maliwato' yako ianze Kutumika kinyume na Maandiko ya Mwenyezi Mungu na Vitabu vyake Vitakatifu umekuwa ni Mpumbavu kuliko Maelezo.Tayari na wewe kichaa kimeshakupata
wahi haraka ukapate tiba Mirembe
Ummy ni Waziri wa Afya sio Waziri wa maji
Mambo ya maji yana Waziri wake
Ummy njoo mchukuae mgonjwa wako wa akili huyu aliyeehuka mleta mada umpeleke Mirembe Uje na pingu za kumfunga mikononi na miguuni
Wewe unadhani kuna Waziri yuko serious nchi hii.Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema anatamani kubadilisha jina la Hospitali ya Magonjwa ya Akili la Mirembe kwa sababu watu wanaoenda katika hospitali hiyo wanaonekana kama ni 'machizi'.