GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 29, 2022 Thread starter #41 Pohamba said: kuna pendekezo kutoka kwa wananchi wa maeneo ya daraja jipya la Wami liitwe Shaka Hamdu Shaka Bridge Click to expand... Likiitwa hivyo lisipobomoka ndani ya Wiki Moja kwa Makusudi tena Mubashara Mchana kweupe naenda Kukojoa Geti Kuu za Majumba meupe Mawili la Magogoni na ni lile la Chamwino.
Pohamba said: kuna pendekezo kutoka kwa wananchi wa maeneo ya daraja jipya la Wami liitwe Shaka Hamdu Shaka Bridge Click to expand... Likiitwa hivyo lisipobomoka ndani ya Wiki Moja kwa Makusudi tena Mubashara Mchana kweupe naenda Kukojoa Geti Kuu za Majumba meupe Mawili la Magogoni na ni lile la Chamwino.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 29, 2022 Thread starter #42 To yeye said: Comments za ivi watu wako hawazitaki....washakuzoea kwenye siasa....watakupopoa sasa ivi Click to expand... Wasinizoee tafadhali na sipendi Kuzoeleka.
To yeye said: Comments za ivi watu wako hawazitaki....washakuzoea kwenye siasa....watakupopoa sasa ivi Click to expand... Wasinizoee tafadhali na sipendi Kuzoeleka.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Oct 29, 2022 #43 Popoma bora wampe ban