Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Hi nchi Ina vituko sana
Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga
Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja waliowekwa na mmiliki wa uwanja wa Mkapa ambaye ni serikali ndio wawambie hichi mnaruhusiwa kuingia nacho na hichi hamruhusiwi kuingia nacho
Lakini Cha kushangaza hiyo kazi ilifanywa na makomandoo wa Yanga walinzi wa uwanja wapo wapi?
Mimi Kuna siku walinzi wa uwanja walinizuia nisiingie na chupa sikumbuki ilikuwa chupa ya Nini Wala sikushangaa Kwa sababu walikuwa wanatimiza majukumu yao
Ila kame wangekuwa makomandoo wa Yanga nisinge waelewa maana sio kazi yao