Kuhusu hili tukio la wale watumishi wa Afya ya zahanati moja huko Tabora nimeona media zote za chadema wanamsagia kunguni aisee kwahiyo sie chadema tunaona raha kuharibu vitumbua vya wenzentu?
Chadema kulikuwa na haja gani ya kupost vile bila kufatilia chanzo chake? Na kwanini imetokea vile? Sie wanachadema tubadilike bwana hapo tu hatujachukua nchi je tukichukua nchi si tutakuwa zaidi ya ccm? Tubadilike bwana wanachadema.