Kwahiyo tunaachana na Wachina 'tunajibebisha' kwa Wamarekani ili Waichukue Bagamoyo kama walivyoichukua Kigamboni?

Kwahiyo tunaachana na Wachina 'tunajibebisha' kwa Wamarekani ili Waichukue Bagamoyo kama walivyoichukua Kigamboni?

Aisee bora Wamarekani. Haya mataifa ya Asia hayafai. Wakipewa Wachina unaweza kuta hakuna mtu atapata mshahara zaidi ya milioni mmoja. Hao jamaa wanatuonaga WaAfrika kama mbwa tu
Wamerika wako vizur sana kwenye issue ya masilahi ya wafanyakazi kwa kweli. Nilishafanya kazi kwenye kampuni zote ya wachina na wamerika. Wanajali sana wafanyakazi. Nenda kwa Mchina Sasa. Ni majanga tupu. Hadi na kupiga wafanyakazi. Washenzi kweli wachina. Wana maisha ya ujanja ujanja sana..

Wakati migodi mikubwa inaanzishwa hapa nchin makampuni yalitaka kulipa wafanyakazi mishahara Ile ya kimataifa. Yaan mfanyakazi wa barick aliyeko south afrika alipwe mshahara mmoja na GGM geita the same saraly. But mkapa akakataa hiyo mishahara kwa kusema ni mikubwa mno. Hapo ndo utaelewa ni viongozi wa aina Gani tulio nao


Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Nigeria tayari wamesha jenga bamdari kubwa sana ambayo ndio itakuwa hub ya Africa nzima ....
 
Unamaanisha serikali isitishe mpango wa kujenga bandari bagamoyo?

Marekani haitaji bandari na Wala hawana mpango wa kuhitaji. Wao walisema wapo tayari tu kutoa ushauri endapo serikali itawaomba
bandari tulishasema haina maslai kwa kwa taifa kutokana na mkataba wake kuwa na walakini
 
Back
Top Bottom