witzone2
JF-Expert Member
- Jan 14, 2022
- 797
- 1,739
Wamerika wako vizur sana kwenye issue ya masilahi ya wafanyakazi kwa kweli. Nilishafanya kazi kwenye kampuni zote ya wachina na wamerika. Wanajali sana wafanyakazi. Nenda kwa Mchina Sasa. Ni majanga tupu. Hadi na kupiga wafanyakazi. Washenzi kweli wachina. Wana maisha ya ujanja ujanja sana..Aisee bora Wamarekani. Haya mataifa ya Asia hayafai. Wakipewa Wachina unaweza kuta hakuna mtu atapata mshahara zaidi ya milioni mmoja. Hao jamaa wanatuonaga WaAfrika kama mbwa tu
Wakati migodi mikubwa inaanzishwa hapa nchin makampuni yalitaka kulipa wafanyakazi mishahara Ile ya kimataifa. Yaan mfanyakazi wa barick aliyeko south afrika alipwe mshahara mmoja na GGM geita the same saraly. But mkapa akakataa hiyo mishahara kwa kusema ni mikubwa mno. Hapo ndo utaelewa ni viongozi wa aina Gani tulio nao
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app