Kwahiyo tusiilamu Serikali ila tumlaumu Rais Samia Suluhu Hassan au?

Kwahiyo tusiilamu Serikali ila tumlaumu Rais Samia Suluhu Hassan au?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Wananchi waache kuwa na lawama kwa sababu serikali yao iko makini sana katika kufanya tathmini ni aina gani ya mkopo iingie nchi yetu na ina tija gani kwa maslahi ya Taifa letu,"- Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande.

Chanzo: EastAfricaTV

Kama kuna mwaka ambao Tanzania ( Taifa ) letu hili limepata bahati mbaya kuwa na 'Mawaziri' wa 'Fedha' ni miaka hii.
 
Ni miaka ipi tulipata bahati ya kuwa na mawaziri wazuri wa fedha?
Wakati wa Hayati Rais Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, wa Hayati Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa na wa Baba wa Taifa Rais Mstaafu Julius Kambarage Nyerere.
 
Umesema ukweli mtupu..kipindi hiki cha walamba asali na wala kwa urefu kwa kamba..mikopo mingi inaenda mifukoni mwao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wakati wa Hayati Rais Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, wa Hayati Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa na wa Baba wa Taifa Rais Mstaafu Julius Kambarage Nyerere.
Kumbe na wewe niliccm tu, hakuna waziri aliwahi kuwa timamu tangu tupate uhuru, miccm yote kichwa empty
 
Back
Top Bottom