Kwahiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya mapema leo, kesho hawatapiga kura ya Rais na Mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa 'busy'?

mazingaumbwe
 
Wakati wa kupiga kura ni vyama vinakwenda kuchukua dola, kwa hali hiyo tegemea kila liwezekanalo litafanywa. Ni sawa tuu unapoenda kutafuta chakula kwa familia yako, kama utakuta kazi ya kubeba nazi, sawa tuu, kazi ya kubeba ndizi sawa tuu.

Hapa inatafutwa dola, mazungumzo ijumaa.
 
Utafuta mume mpaka leo?
 
Kesho watakuwa busy kulinda amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…