Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
mazingaumbweNimesikia kutoka BBC kuwa maafisa wa uchaguzi na wanausalama wamepiga kura leo kwa sababu kesho watakuwa bize. Kumbuka kuwa kesho kUtakuwa na uchaguzi wa NEC. Kwa hiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya leo ya mapema, kesho hawatapiga kura ya rais na mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa bize?
Naomba ujibu kwa utulivu. Matusi pia ruksa.