Kwahiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya mapema leo, kesho hawatapiga kura ya Rais na Mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa 'busy'?

Kwahiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya mapema leo, kesho hawatapiga kura ya Rais na Mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa 'busy'?

Nimesikia kutoka BBC kuwa maafisa wa uchaguzi na wanausalama wamepiga kura leo kwa sababu kesho watakuwa bize. Kumbuka kuwa kesho kUtakuwa na uchaguzi wa NEC. Kwa hiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya leo ya mapema, kesho hawatapiga kura ya rais na mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa bize?

Naomba ujibu kwa utulivu. Matusi pia ruksa.
mazingaumbwe
 
Wakati wa kupiga kura ni vyama vinakwenda kuchukua dola, kwa hali hiyo tegemea kila liwezekanalo litafanywa. Ni sawa tuu unapoenda kutafuta chakula kwa familia yako, kama utakuta kazi ya kubeba nazi, sawa tuu, kazi ya kubeba ndizi sawa tuu.

Hapa inatafutwa dola, mazungumzo ijumaa.
 
Mwanakulitafuta, mwanakulipata, piga hao kama paka mwizi, ijumaa saa 7 mchana ndio tutaanza kuzungumza lugha ambayo tutaelewana.

Sirro amekwisha sema tii sheria bila shuruti. Wanakulitafuta msiwasikilize deko hao.

Piga wachakae, sisi tuna hitaji kuwa salama na nchi yetu hao waliotumwa na basha zao kina Ámsterdam tusiwasikilize wataharibu uchaguzi.
Utafuta mume mpaka leo?
 
Back
Top Bottom