GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Frank leo una MhahoWewe inakuuma nini?mbona Muddy aliitoa Mbumbumbu SC mikononi mwa Kaduguda mkila mahindi ya kuchemsha na kutumia koni zake za mazoezi na hatujatangaza mpaka ikafikia akadai hela zake za chai na mihogo ya kukaanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kashfa yoyote hersi aliyofanya,ila wewe ndio una ajenda yako ya kutaka kuleta chokochoko yanga,hitafanikiwa" Tumeitoa Yanga SC Uswahilini pale Manzese wakiwa na hali mbaya, Njaa wakila Maharage na Ugali wa Kugombania na Wanang'atwa na Mbu na sasa tumewaweka pale Avic Town Kigamboni wanakula vizuri sana "
Yaani wana Yanga SC wote kama kuanzia Usiku huu na mpaka Kesho hatujamfukuza Injinia Hersi Said na GSM yake Yanga basi Mimi GENTAMYCINE nahamia rasmi Simba SC kwa Mo Dewji ambako kuna Raha, Utamu, Heshima na Mafanikio.
Injinia Hersi katutukana vjbaya sana tu.
Tena Kaduguda anadai pesa za matikiti maji alizotumia kuwanunulia wachezaji wale wasife njaa.Wewe inakuuma nini?mbona Muddy aliitoa Mbumbumbu SC mikononi mwa Kaduguda mkila mahindi ya kuchemsha na kutumia koni zake za mazoezi na hatujatangaza mpaka ikafikia akadai hela zake za chai na mihogo ya kukaanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Fukara hana kiapoSponser hanuniwi...
Braza malinzi anaendeleaje???Wewe inakuuma nini?mbona Muddy aliitoa Mbumbumbu SC mikononi mwa Kaduguda mkila mahindi ya kuchemsha na kutumia koni zake za mazoezi na hatujatangaza mpaka ikafikia akadai hela zake za chai na mihogo ya kukaanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hataki kabisa hata Kusikia mambo yenu.Braza malinzi anaendeleaje???