Kwahiyo Yanga SC yetu tulimsajili Aziz K kwa Tsh. milioni 550 aje acheze Shirikisho kwa walioshindwa?

Kwahiyo Yanga SC yetu tulimsajili Aziz K kwa Tsh. milioni 550 aje acheze Shirikisho kwa walioshindwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga SC yetu haraka (upesi) sana.
 
Yes ni kombe la loser hata hiyo nafasi ya kulicheza hawatoshinda group stage maana watapigwa nje ndani na wenye kombe lao
 
Sis Mbumbumbu fc tulimsajili Mzungu Kwa milioni 600 Kwa mkataba wa miaka mitatu amecheza mechi zisizo zidi kumi tumevunjanae mkataba, tumemlipa chake 300 milioni kesh, Zingine tutaendelea kumlipa taratibu Kwa miaka miwili na Wala haturingi.
 
.
IMG-20221017-WA0006.jpg
 
kule shirikisho kuna hawa watu wabady Rs Barkane,Mazembe,Al ahly Tripoli,Fc Motema pembe,cape town city na Pyramids hao ndo wabaya wa huko,Uto kazi bado wanayo.
 
Wana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga SC yetu haraka (upesi) sana.
wewe mambo ya yanga yanakuhusu nini?
 
Ngoja nikuelezee vizuri hapa kuna biashara kichaa inatembea

Aziz kanunuliwa 550M

Hawa jamaa hawaendi popote shirikisho wanatooewa playoff

Kituo kifuatacho NBC kugombania milioni 500 za azam

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Wana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga SC yetu haraka (upesi) sana.
Wewe kenge kinyeo chako hakiwezi kukunika bila kuitaja yanga tahira wahedi weee[emoji35][emoji35]
 
Back
Top Bottom