GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mnajua sababu ya Nabi kuachwa kwenye klabu aliokuwa anafundisha kabla ya kuja Yanga?Tatizo la aziz ki ameingia kwenye team ya manyani..
timu imelaaniwa na kocha wake live..
timu imejikita katika.malalamiko kuliko mabadiliko
Aziz ki anajuta kuikacha simba na kwenda utopolo sasa hiviTatizo la aziz ki ameingia kwenye team ya manyani..
timu imelaaniwa na kocha wake live..
timu imejikita katika.malalamiko kuliko mabadiliko
Usilinganishe simba kwa yangaAziz ki anajuta kuikacha simba na kwenda utopolo sasa hivi
Wachezaji wanapenda wacheze Champions League. Kwa kuwa nao wanapata nafasi ya kuuza majina yaoUsilinganishe simba kwa yanga
Atajuta vipi wakati assist yake iliwaua kwa mkapa na bado jmamosi tena
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
na shirikisho wanapigwa kama gunia la mpungaWana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga SC yetu haraka (upesi) sana.
Wamekaa kichawi chawiWalikuwa wanasajili usiku ndio maana wametolewa usiku
wewe mambo ya yanga yanakuhusu nini?Wana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga SC yetu haraka (upesi) sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walikuwa wanasajili usiku ndio maana wametolewa usiku
Lengo haikuwa kuvuka group stage kweli au mimi nilimsikia vibaya sope?
Wewe kenge kinyeo chako hakiwezi kukunika bila kuitaja yanga tahira wahedi weee[emoji35][emoji35]Wana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga SC yetu haraka (upesi) sana.