Nimefuatilia reactions za mashabiki wengi duniani juu ya matokeo ya mechi baina ya Man city vs Arsenal kupitia media mbalimbali, nimegundua kuwa wengi wamefurahi sana Man city kusawazisha bao na hivyo kutoka sare ya 2-2.
Inafahamika kuwa Man city hawana fan base kubwa ukilinganisha na timu kama Arsenal, Man utd na hata Chelsea. Sasa najiuliza, nn kipo nyuma ya furaha iliyopitiliza baada ya Man city kusawazisha?