Halaand anawanyooshea watu mikeka yaoNimefuatilia reactions za mashabiki wengi duniani juu ya matokeo ya mechi baina ya Man city vs Arsenal kupitia media mbalimbali, nimegundua kuwa wengi wamefurahi sana Man city kusawazisha bao na hivyo kutoka sare ya 2-2.
Inafahamika kuwa Man city hawana fan base kubwa ukilinganisha na timu kama Arsenal, Man utd na hata Chelsea. Sasa najiuliza, nn kipo nyuma ya furaha iliyopitiliza baada ya Man city kusawazisha?
InawezekanaWengi ni mashabiki wa Kenge na Manyumbu. Huwezi kuta shabiki wa Liverpool anashingilia Man City kupata point, kwa sababu ni rahisi kupambana na Arsenal kwenye mbio za ubingwa kuliko Man City.
In short wanaitafuta furaha kinguvu.
KumbeWengi wanao ichukia ni mashabiki wa man utd
Hao ni mashabiki wa Man UWengi ni mashabiki wa Kenge na Manyumbu. Huwezi kuta shabiki wa Liverpool anashingilia Man City kupata point, kwa sababu ni rahisi kupambana na Arsenal kwenye mbio za ubingwa kuliko Man City.
In short wanaitafuta furaha kinguvu.
Wapo wapumbavu wa punda wanalazimisha rivalry na ArsenalWengi ni mashabiki wa Kenge na Manyumbu. Huwezi kuta shabiki wa Liverpool anashingilia Man City kupata point, kwa sababu ni rahisi kupambana na Arsenal kwenye mbio za ubingwa kuliko Man City.
In short wanaitafuta furaha kinguvu.