Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwenu kilaza mkuu AG na vilaza wengine mliojazana kwenye Serikali isiyo halali ya Samia na CCM.
Nyaraka zilizowasilishwa ICC zimeeleza wazi Serikali ya Samia na CCM inafanya enforced dissaperance na extra judicial killings kwa activists na dissents. Zimeonesha jinsi mlivyowanajisi Wanaharakati wa Kenya na Uganda.
Bunge la Ulaya limejadili na ipo kwenye hansards zake kuwa mnateka, mnapoteza , mnaua watu na kuwafungulia watu mashtaka ya uongo.
Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema kuhusu kuua, kupoteza watu na kuwafungulia mashtaka ya uongo watu wanaoipinga Serikali ili kuwazima midomo.
Ujumbe huu uwafikie vilaza na wajinga wote mliojazana kwenye Serikali hii isiyo halali na dhalimu ya Samia. Hakuna maombi ya kumkamata na kumrudisha mtuhumiwa yeyote ambaye anajitambulisha kama Mwanaharakati yatajibiwa positive na Taifa lolote linaloheshimu haki hapa duniani.
Ingekuwa hao wanaharakati wamekimbilia China, Urusi, Korea Kaskazini, Msumbiji, Zimbabwe, Uganda au Burundi mngewapata lakini sio Mataifa kama Marekani, ya Ulaya, Kenya na mengineyo yanayojitambua.
Endeleeni kujivua tu nguo na kuuthibitishia ulimwengu kuwa nyie ni vilaza mliotukuka na washenzi wa kiwango cha lami.