Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Leo ni Alhamisi alfajiri...
Nikiwa na akili zangu timamu, natumia safu hii kuutarifu uma wa JF kuwa....
Kasinde ni chombo halali ya Babu kuanzia mwezi Mei 2022.
Baada ya hicho kibwagizo sasa acha niendelee na salamu zangu kwa Babu.
Babu....
Kwanza kabisa nakupenda, najua wajua hilo.
Ulishaniambia kuwa, hili neno nakupenda nilishawaambia wengi huko nyuma ila kwako iwe ndo mwisho. Asitokee mwingine wa kumwambia hivyo hadi pale tutaporudisha namba kwa Muumba.
Butiama ndo makazi yetu mapya na huko ndo tumeamua kustaafu, najua wote (mimi na wewe) si wenyeji wa Butiama ila kwa Mahaba yaliyo kati yetu, Butiama ndo mahala tutaendelea kuzeeshana hadi pale kitapokatikia...
Hakika nakupenda asilani, umeniteka nimekuteka tumetekana.
Vile tumezungukwa na hali ya hewa ya asili, mifugo basi nasikia raha kila kuchwapo uniamshapo kunibariki na kimoko....
Sijilaumu kuchelewa kujuana na wewe ila namshukuru Maulana kwa kunipa haja ya moyo wangu.
Ni wasaaa muafaka tule pensheni zetu kwa afya, raha na maisha yetu na kuwaachia wajukuu zetu urithi maridhawa.
Najua hizi sio pigo zako, ila sikiliza sauti na maneno tuu babu yangu.
Babu, zingatia hapo, βwhat I feel.....β
Nakupenda Babu yangu mpenzi.
Acha nikakuandalie stafutahi π.
Wako mpendwa, Kasie.
NB: 1. wako wataosema kimoyomoyo kuwa na huyu ntaachana tuu.
2. Wengine bibi kilomita zinasoma ngapi
3. Huyu ndo yule wa siku zote / huyu ni mpya / huyu ni yupi.
π huyu anaitwa Babu wa Kasie wanaestaafu pamoja kijijini Butiama.
Alhamisi njema. π