Kwako dada Lady jay dee

Mmh! vipi wewe kwanza ndugu umeshaenda kuwapa pole mawingu fm?
 
Koma mbwa wewe, lady jaydee mama ako? Una hadhi ya kuzaliwa na jide? Angekua mama ako c ungelinga, mama ako yuko sitimbi huko analima mihogo, mkome jide
Dooh[emoji15]

Ubuyu uliokula Leo Wa vimto binamu[emoji14]
 
wapuuzi wote ulishawai kumuona jde kwenye shukhuli yoyote ya kijamii
 
Duh na we we kwa utumbo ???
 
Yeye alivyotumbuliwa kwenye sekta ya mapenzi kuna serikali, taasisi au mtu binafsi alienda kumpa pole. Hata Harmorapa hakwenda, mwachen jide apumzike.


Kila mtu atabeba msalaba wake.
 
Mbona Diamond hajaenda kuwapa pole? na kila siku anapeleka domo lake pale clouds lakini yupo upande wa Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…