Kwako Diamond...

Kwako Diamond...

Wewe SEMA umjui huyu mama huyu mama nimefuta Kiki Sana na yeye ni ndio alisema ana hela nyingi Wala ategemei pesa za mondi na anauwezo wakumlea diamond bila pesa zake alafu Cha ajabu diamond kamwachia nyumba ambayo kapangisha je hiyo hela ya Kodi anapeleka wapi?
Huyo mama Ni kichaa... Na dawa yake Ni kwa mondi kutengeneza legal framework ya yeye kulea watoto
 
Sizani Kama diamond ataki kuwahudumia hao watoto Kama kawanunulia nyumba kabisa south atashindwaje kulewa tatizo hapo Ni zari kutengeneza mahusiano mazuri na diamond uwezi kumtukana muda mwingi kwenye Instagram yako mzazi mwenzako alafu huyo huyo unataka atusaidie, watoto wake unawapeleka kanisani wakati baba Ni muislamu, umeblock mzazi mwenzako alafu huyo huyo unataka atusaidie, umeshindwa kuwaruhusu hata siku moja watoto kuja dar kumuona baba yao huo msaada utatoka wapi mbona hamisa mobetto anawaruhusu watoto kumuona baba yao kwanini zari Hilo linamshinda? Na hamisa mobetto amesema baba yao anahudumia.
Watoto wako na Mama ana Uwezo wa kuwalea apendavyo.
 
Back
Top Bottom