Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁😂😂😂😂😂 Nilijua tu yaaani huu uzi usingekamilika bila king kutajwa.
unajificha kwenye mkaranga ukitegemea usionekane, kweli?!!!!!!King anaimba Nini?
Huyo mama Ni kichaa... Na dawa yake Ni kwa mondi kutengeneza legal framework ya yeye kulea watotoWewe SEMA umjui huyu mama huyu mama nimefuta Kiki Sana na yeye ni ndio alisema ana hela nyingi Wala ategemei pesa za mondi na anauwezo wakumlea diamond bila pesa zake alafu Cha ajabu diamond kamwachia nyumba ambayo kapangisha je hiyo hela ya Kodi anapeleka wapi?
Kweli kabisa alafu anatatizo moja la kupenda kutafuta public sympathy bahati nzuri watu washamjua vizuri.Huyo mama Ni kichaa... Na dawa yake Ni kwa mondi kutengeneza legal framework ya yeye kulea watoto
ni ushauri mzuri sana. uko na busara kiongozi....!
vp lkn, katika hiyo list yako ya nyimbo unazozipenda hakuna ya King hata moja uitaje angalau niijue tu?!!!!
Shukrani kiongoziMkuu una uandishi mzuri sana. Umeandika ukiwa very relaxed. Uzi mzuri
Watoto wako na Mama ana Uwezo wa kuwalea apendavyo.Sizani Kama diamond ataki kuwahudumia hao watoto Kama kawanunulia nyumba kabisa south atashindwaje kulewa tatizo hapo Ni zari kutengeneza mahusiano mazuri na diamond uwezi kumtukana muda mwingi kwenye Instagram yako mzazi mwenzako alafu huyo huyo unataka atusaidie, watoto wake unawapeleka kanisani wakati baba Ni muislamu, umeblock mzazi mwenzako alafu huyo huyo unataka atusaidie, umeshindwa kuwaruhusu hata siku moja watoto kuja dar kumuona baba yao huo msaada utatoka wapi mbona hamisa mobetto anawaruhusu watoto kumuona baba yao kwanini zari Hilo linamshinda? Na hamisa mobetto amesema baba yao anahudumia.