Ndo kumuombea kura mapema hivi?Maisha ya kila siku ni siasa, kwa hiyo kila siku unapoishi, ni kampeni, ukisifia Barbara, maji, au ukikosoa, tayari ni kampeni
Wangekuwa CHADEMA wangeshalimwa barua chap kwa haraka mnoAmesikika Ndugu Jokate Mwegelo akimuombea mmoja wa wanaosemekana kugombea Urais 2025,
Tupe majibu stahiki ndugu mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi!!
Ni hayo tu.
Kwa hiyo hata kumuombea kura mgombea asiyethibitishwa?Maisha ya kila siku ni siasa, kwa hiyo kila siku unapoishi, ni kampeni, ukisifia Barbara, maji, au ukikosoa, tayari ni kampeni
Unaamini Judge Mutungi hawezi kuipa onyo CCM?
Over my dead carcassUnaamini Judge Mutungi hawezi kuipa onyo CCM?
Wala usijali huyo Jokate yupo Kwa kazi maalum!Amesikika Ndugu Jokate Mwegelo akimuombea mmoja wa wanaosemekana kutaka kugombea Urais 2025,
Tupe majibu stahiki ndugu mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi!!
Na ikiwa jambo hili halijaruhusiwa, jitutumue Uipe ONYO au karipio CCM!!
Ni hayo tu.
Mi nasubiri tamko la Judge Mutungi kuipa onyo Kali CCM.Wala usijali huyo jokate yupo Kwa kazi maalum!
We hujui mgombea anapopiga kampeni mapema nachuja mapema...
YeMi nasubiri tamko la Judge Mutungi kuipa onyo Kali CCM.
Kama anasifiwa kabla ya muda wa kuthibitishana, ni halali
Sasa hakuna uchaguzi, chama chako na mgombea wako wameathirika?Ndo kumuombea kura mapema hivi?
Unawezaje kumuombea kura mtu ambaye chama chake hakijampitisha na Tume ya Uchaguzi haijapuliza kipenga?
Jaji Mutungi sio fala.. anajua kabisa kuna maisha baada ya kuipa onyo kali CCM.Mi nasubiri tamko la Judge Mutungi kuipa onyo Kali CCM.
Ameombewa kura sio kusifiwa,Kama anasifiwa kabla ya muda wa kuthibitishana, ni halali
Kuna taasisi imetangaza uchaguzi? Halafu siasa sio hesabuAmeombewa kura sio kusifiwa,
Ikiwezekana Mutungi aipe onyo Kali CCM!!
Unamaanisha Kada Jokate, hakuwa vizuri kichwani alipoyatamka hayo?Sasa hakuna uchaguzi, chama chako na mgombea wako wameathirika?
Acha hizo,Jaji Mutungi sio fala.. anajua kabisa kuna maisha baada ya kuipa onyo kali CCM.