Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mkuu ww ni mgeni wa nchi hii, hujui kuwa kuna Chama Kiko juu ya Sheria?Lakini analipwa Kwa Kodi za wananchi na nafasi yake IPO kikatiba!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ww ni mgeni wa nchi hii, hujui kuwa kuna Chama Kiko juu ya Sheria?Lakini analipwa Kwa Kodi za wananchi na nafasi yake IPO kikatiba!!
Mbona kilishindwa kumpa uongozi usio na ukomo kiongozi yule?Mkuu ww ni mgeni wa nchi hii, hujui kuwa kuna Chama Kiko juu ya Sheria?
Kiongozi yupi?Mbona kilishindwa kumpa uongozi usio na ukomo kiongozi yule?
Hawezi na hataweza hata siku moyaaaa!!!!!Unaamini Judge Mutungi hawezi kuipa onyo CCM?
Kwanini asiweze ilhali anayo mamlaka kisheria ya kuvisajili,kuvionya na hata kuvifuta vyama vya siasa?Hawezi na hataweza hata siku moyaaaa!!!!!
Ndugu mtanzania mwenzangu nakuambia kwa mara nyingine jaji Mutungi hawezi na hataweza kuionya CCM mpaka kifo kitakapomchukua licha ya kua na mamlaka ya kisheria kufanya hivyo maana kuna watu wenye nafasi mbalimbali walijaribu kufanya hivyo wakaishia shimoni nikupe mfano................ unamkumbuka spika wa bunge aliyepita???Kwanini asiweze ilhali anayo mamlaka kisheria ya kuvisajili,kuvionya na hata kuvifuta vyama vya siasa?
Spika aliyepita hakuwa na mamlaka kuionya CCM iliyompa tiketi kugombea ubunge.Ndugu mtanzania mwenzangu nakuambia kwa mara nyingine jaji Mutungi hawezi na hataweza kuionya CCM mpaka kifo kitakapomchukua licha ya kua na mamlaka ya kisheria kufanya hivyo maana kuna watu wenye nafasi mbalimbali walijaribu kufanya hivyo wakaishia shimoni nikupe mfano................ unamkumbuka spika wa bunge aliyepita???
Sawa unakumbuka sakata la yule CIG wa kipindi cha Mwendazake aliyesema trilioni 1.5 zimepotea ikulu kilichomkuta ????Spika aliyepita hakuwa na mamlaka kuionya CCM iliyompa tiketi kugombea ubunge.
Alitimiza WAJIBU wake CAG Assad ingawa saiz anayumbishwa na udini.Sawa unakumbuka sakata la yule CIG wa kipindi cha Mwendazake aliyesema trilioni 1.5 zimepotea ikulu kilichomkuta ????
HaweziUnaamini Judge Mutungi hawezi kuipa onyo CCM?
Yeye mwenyewe anaomba Mungu abakishwe kwenye hiyo nafasi maana hana uhakikaAmesikika Katibu mkuu UWT Ndugu Jokate Mwegelo akimuombea kura ya Urais mmoja wa "wanaosemekana" kutaka kugombea Urais 2025, kada huyo amesema hayo akiwa Mbinga Ruvuma, ingawa haijathibitika ametumwa aseme, au amejituma mwenyewe!
Tupe majibu stahiki ndugu mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi!!
Na ikiwa jambo hili halijaruhusiwa, jitutumue Uipe ONYO au karipio Kali CCM!!
Ni hayo tu.
Chanzo: Ayo Tv.
HAWEZI nimeandika kwa herufi kubwa !!Unaamini Judge Mutungi hawezi kuipa onyo CCM?
Majaribio ya kampeni za urais yanaruhusiwa ila kwa kibali toka kwa rais.Amesikika Katibu mkuu UWT Ndugu Jokate Mwegelo akimuombea kura ya Urais mmoja wa "wanaosemekana" kutaka kugombea Urais 2025, kada huyo amesema hayo akiwa Mbinga Ruvuma, ingawa haijathibitika ametumwa aseme, au amejituma mwenyewe!
Tupe majibu stahiki ndugu mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi!!
Na ikiwa jambo hili halijaruhusiwa, jitutumue Uipe ONYO au karipio Kali CCM!!
Ni hayo tu.
Chanzo: Ayo Tv.