Kwako Jaji Mutungi, Kampeni za Uchaguzi wa Urais 2025 zimeruhusiwa Rasmi?

Hawezi na hataweza hata siku moyaaaa!!!!!
Kwanini asiweze ilhali anayo mamlaka kisheria ya kuvisajili,kuvionya na hata kuvifuta vyama vya siasa?
 
Kwanini asiweze ilhali anayo mamlaka kisheria ya kuvisajili,kuvionya na hata kuvifuta vyama vya siasa?
Ndugu mtanzania mwenzangu nakuambia kwa mara nyingine jaji Mutungi hawezi na hataweza kuionya CCM mpaka kifo kitakapomchukua licha ya kua na mamlaka ya kisheria kufanya hivyo maana kuna watu wenye nafasi mbalimbali walijaribu kufanya hivyo wakaishia shimoni nikupe mfano................ unamkumbuka spika wa bunge aliyepita???
 
Spika aliyepita hakuwa na mamlaka kuionya CCM iliyompa tiketi kugombea ubunge.
 
Spika aliyepita hakuwa na mamlaka kuionya CCM iliyompa tiketi kugombea ubunge.
Sawa unakumbuka sakata la yule CIG wa kipindi cha Mwendazake aliyesema trilioni 1.5 zimepotea ikulu kilichomkuta ????
 
Sawa unakumbuka sakata la yule CIG wa kipindi cha Mwendazake aliyesema trilioni 1.5 zimepotea ikulu kilichomkuta ????
Alitimiza WAJIBU wake CAG Assad ingawa saiz anayumbishwa na udini.

Lakini kupewa Mamlaka kikatiba Kisha usiyatumie Kwa kuhofia watu Fulani Si sahihi.
 
Mufindi tena wamemchukulia fomu,

Tuambieni, ikiwa compaign zimeanza
 
Walimu nao wamechangushana Eti kumchukulia fomu !!

Umeruhusu haya kuendelea ndugu msajili?
 
Yeye mwenyewe anaomba Mungu abakishwe kwenye hiyo nafasi maana hana uhakika
 
Mutungi umeruhusu haya?

Na vyama vingine vianze?

Na CCM wenye Nia ya kugombea waanze wazi WAZI?
 
Hana hiyo JEURI ,kumbuka hata Mwendazake alivyozuia vyama vya SIASA kufanya mikutano ya hadhara, kinyume na sheria, ALIUFYATA kimya!
 
Majaribio ya kampeni za urais yanaruhusiwa ila kwa kibali toka kwa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…