Kwako jirani yetu Irene Uwoya

dah! miaka yote ya uigizaji bado anakaa kweny nyumba za kupanga hiv hawa watu pesa wanapeleka wapi
Mkuu sio "nyumba ya kupanga" ni chumba cha kupanga au hujamuelewa mtoa mada.. Hana hadhi ya kupanga nyumba kwa sasa kwani kafulia hana kitu
 
Balozi ndio mwenye nyumba wake apo ngoma droo labda ukashitaki kwa serikali za mtaa
 
Compact kumbe unauzoefu na hawa bongo move
Nimekumic haswa topr mm hawa nawajua Sana. Wanapenda maisha ya kijuu mno. Ndo maana nimemshauri Jamaa awe anampa hela waende klabu kula bata huko ili yeye apate usingizi na wenzie
 
Nimekumic haswa topr mm hawa nawajua Sana. Wanapenda maisha ya kijuu mno. Ndo maana nimemshauri Jamaa awe anampa hela waende klabu kula bata huko ili yeye apate usingizi na wenzie
Miss you more ila usije ukawa ulijiingiza kwa hawa watu eti naskia wanakukwangua unabaki na kucha tu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Miss you more ila usije ukawa ulijiingiza kwa hawa watu eti naskia wanakukwangua unabaki na kucha tu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahahahaaha! Wanakwangua haswaaa! Kucha hata ubakiwi nayo. Siwezi kujiingiza kwao mm!
 
Taarifa nishamfikishia baba mwenye nyumba anayoishi ambaye ni j moo
 
Hahahahahaaha! Wanakwangua haswaaa! Kucha hata ubakiwi nayo. Siwezi kujiingiza kwao mm!
Aisee usiingie maana utakosa ata bando ya kuingia umu jr niwe nakuona mwenzio maana ukiishiwa akawii kukwambia
Baby uza basi iyo simu yako unipe ata ela jioni kesho kuna paty ya wema me sina ata Nguo ya kuvaa wala zawadi[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] me nikashindwa kukuona umu
 
Hahaha! Hawawezi kunishika kiasi hicho bhanah!!.. Siku hizi umeadimika Sana wewe mwanamke. Sijui uncle karudi kutoka America.?
 
ukisikia jino kwa meno ndo hii sasa
 
Bongo movie pasua kichwa, siku hizi hawana kitu maana mapedeshee wamehamia kwa video queens.
 
Amepanga chumba ama vyumba vingapi? Sasa kama mziki tu ni hivyo vipi huko choon na bafun mnaposhare. Halaf ile benz yake anapaki wapi? Je lile bweeege lirundi bado analo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…