Kwako jirani yetu Irene Uwoya

Kwako jirani yetu Irene Uwoya

Dawa ya jeuri ni kiburi, mnunulie Muteki ya nguvu apo, weka vol ya maana apo afu kisho yake tulia, mwenyewe atazima huo mkulima wake.
 
E newz checheeee......inabidi ihusike pande hizo.
 
Hata kama haupo humu hopefully ujumbe utakufikia. Irene uwoya wewe ni mdada mtu mzima mwenye hadhi yako ,lakini mambo unayoyafanya kama watoto wanaonza balehe.

Dada yangu wewe kila weekend mamiziki tena kwa sauti ya juu, jamani watu hatulali. Yote haya tumevumilia ila jana sikukuu ya Iddi umetukomesha baada ya kugeuza nyumba yako disco. Muziki mpaka rohoni kwakweli hatuna hata nafasi ya kulala ukiangalia wengine wana watoto wadogo. Irene hata kama unataka kula bata na shoga zako kuwa mstaarabu jamani, weka muziki wa wastani.

Jana umetulaza macho leo tena umefungua mziki jamani uwiiiiiiii, natamani nikurudishie kodi uhame jamani. Halafu hujistukiii mtaa mzima wewe peke yako ndo una makelele mweeeee

Unatukwaza Irene Uwoya badilika fanya ustarabu haya ni makazi ya watu tunaomba utuheshimu.

Kumbe kapanga alafu analeta nyodo
Maskini jeuri.
 
Tatizo dogo tu hilo mbona mripoti polisi kapanga kanyumba anasumbua mtaa mzima?

Ikishindikana mrudizhie kodi yake tu atajifunza.

Tafuta mwanasheria wakupe mikakati upige hela acha kulalama hizo ndo fursa zenyewe.

Yaani hamlali kwa makelele.
 
Back
Top Bottom