Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,072
- 7,891
Mkuu sio "nyumba ya kupanga" ni chumba cha kupanga au hujamuelewa mtoa mada.. Hana hadhi ya kupanga nyumba kwa sasa kwani kafulia hana kitudah! miaka yote ya uigizaji bado anakaa kweny nyumba za kupanga hiv hawa watu pesa wanapeleka wapi