Kwako jirani yetu Irene Uwoya

Dawa ya jeuri ni kiburi, mnunulie Muteki ya nguvu apo, weka vol ya maana apo afu kisho yake tulia, mwenyewe atazima huo mkulima wake.
 
Hayo ndio matokeo yakunywa bange! Pole sana!
 
E newz checheeee......inabidi ihusike pande hizo.
 

Kumbe kapanga alafu analeta nyodo
Maskini jeuri.
 
Tatizo dogo tu hilo mbona mripoti polisi kapanga kanyumba anasumbua mtaa mzima?

Ikishindikana mrudizhie kodi yake tu atajifunza.

Tafuta mwanasheria wakupe mikakati upige hela acha kulalama hizo ndo fursa zenyewe.

Yaani hamlali kwa makelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…