Kwako Jolie Jolie wangu

na bus zenu za NBS,SABENA, Ivi ile Royal club bado ipo? mkabala na kile chuo chenye swala wengi,,,

hakika pale noumer sana
Ile ipo yani ni moooto,bila kusahau one zero one[emoji23] [emoji23] eti chuo chenye swala wengi hahahha kuna watoto pale wanaitwa wa mama salma
 
Tupo njian
 
Mkuu kama umewahi kuwinda ndege ukimkamata(kuna wapo ambao wanatabia ya kujificha chini kwenye nyasi) kabla unamtoa mabawa ili asije akaruke tena ghafla anakutoka mikononi na kupaa huku akikuachia baadhi ya manyoya, sasa utabaki na maumivu ya kupoteza nguvu nyingi bila tija...inauma sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…