Kwako Jolie Jolie wangu

Kwako Jolie Jolie wangu

na bus zenu za NBS,SABENA, Ivi ile Royal club bado ipo? mkabala na kile chuo chenye swala wengi,,,

hakika pale noumer sana
Ile ipo yani ni moooto,bila kusahau one zero one[emoji23] [emoji23] eti chuo chenye swala wengi hahahha kuna watoto pale wanaitwa wa mama salma
 
thanks u too darling am here just for uuuuu [emoji126] [emoji126] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji8] anything you need just tell me Jolie Jolie hazard cfc hearly na wengineo Karibuni hom tuchangamshe mdomo kwanza wakati Le great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing Smart911 anatafakari pa kuanzia kwa sikukuu ya leo
Tupo njian
 
Mkuu kama umewahi kuwinda ndege ukimkamata(kuna wapo ambao wanatabia ya kujificha chini kwenye nyasi) kabla unamtoa mabawa ili asije akaruke tena ghafla anakutoka mikononi na kupaa huku akikuachia baadhi ya manyoya, sasa utabaki na maumivu ya kupoteza nguvu nyingi bila tija...inauma sana mkuu
 
Back
Top Bottom