Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Hii Inaitwa Abiria Chunga Mzigo Wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha...
Utatoa mtu koromeo...
Kama ulivytaka kufanya Buckets (Masaki)
Umeenda toilet ka demu kakajisogeza pembeni yangu...
Hahaha..
SupriseeeWait.. What!!?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
How did i miss this! [emoji26] [emoji79]
Kwann Yakikushinda Ndugu Yanguhivi ni uwa mmeshatongozana huko nje au mnapatana humu humu ndani.?
mapenz ya humu ndani kiukweli yamenishinda.
Ila hongereni
Dunia haina usawa kabisaaaaHahahahahaaha mimi jiraaaaani yako chuki ya nini?
Acha kabisaaaaaaaaaWacha weeeeeeee mke wa mganga uuuuuyoooooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Moyo unavibrate hapa mkuu nadhani kazi ya kusukuma damu inaenda vyema sana....
hahahaa hahaa ""Pooooh haina tofaut na hiiiView attachment 731298
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nshapika naosha vyombo nilivyopikiaView attachment 731238
Yap na baby fuleshiiiiiii[emoji23] kwenda na babe lakin ruksa
tofauti bei..."" hakuna asiye nunulikaNa we unanunulika?
Shikamooooo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nitarud tenaaaaaaBado ipo
unamtunzia siri shemeji"" kweli umefundwa""Uoooooongoooo
Huyo uliye mtag chini ndo mme wakoo au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jilan Hilo Tutalimazia Kiutu Uzima Boss WanguEnheee jirani wewe kisa cha kuja kuntangaza mitandaoni kisa nimeomba hifadhi kwako ni nini?
Ila Jilan acha Bass kunidanganya ulisema utamtuma Mtoto wako alete pilau au King Hazard kakuchanganyaEnheee jirani wewe kisa cha kuja kuntangaza mitandaoni kisa nimeomba hifadhi kwako ni nini?
ndio huyo huyo ...wataka akuoe mke wa pili nawewe"""?Huyo uliye mtag chini ndo mme wakoo au?
Jilan nashida na ww JilanMate yamenitoka
Hii mtaji ni wewe mnunuaji wa kitabu tu!!..hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimependa hii JamanMkuu kama umewahi kuwinda ndege ukimkamata(kuna wapo ambao wanatabia ya kujificha chini kwenye nyasi) kabla unamtoa mabawa ili asije akaruke tena ghafla anakutoka mikononi na kupaa huku akikuachia baadhi ya manyoya, sasa utabaki na maumivu ya kupoteza nguvu nyingi bila tija...inauma sana mkuu