Kwako Jolie Jolie wangu

Kwako Jolie Jolie wangu

Hahaha...

Utatoa mtu koromeo...

Kama ulivytaka kufanya Buckets (Masaki)

Umeenda toilet ka demu kakajisogeza pembeni yangu...

Hahaha..
Hii Inaitwa Abiria Chunga Mzigo Wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu kama umewahi kuwinda ndege ukimkamata(kuna wapo ambao wanatabia ya kujificha chini kwenye nyasi) kabla unamtoa mabawa ili asije akaruke tena ghafla anakutoka mikononi na kupaa huku akikuachia baadhi ya manyoya, sasa utabaki na maumivu ya kupoteza nguvu nyingi bila tija...inauma sana mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimependa hii Jaman
 
Back
Top Bottom