Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Hujaniambia kama nimepata shemeji shostndio huyo huyo ...wataka akuoe mke wa pili nawewe"""?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaniambia kama nimepata shemeji shostndio huyo huyo ...wataka akuoe mke wa pili nawewe"""?
ndio nimempata leo ...ondoa hofu nitakufahamishaHujaniambia kama nimepata shemeji shost
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimependa hii Jaman
uwa sijui mnaanzia wapi.Kwann Yakikushinda Ndugu Yangu
Humu humu tuuuuuwa sijui mnaanzia wapi.
Bei yako ni ipi?tofauti bei..."" hakuna asiye nunulika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unamtunzia siri shemeji"" kweli umefundwa""
Matusi hayoHuyo uliye mtag chini ndo mme wakoo au?
Jirani hili haliishi kirahisi hivyo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jilan Hilo Tutalimazia Kiutu Uzima Boss Wangu
Sawa niko njiani nimebeba ndizi parachichi na machungwa piaUje na ndizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watoto wote mtaa mzima wameenda disco toto ntamtuma nani,basi mtume yule dogo aliemkula mwenzie aje achukueIla Jilan acha Bass kunidanganya ulisema utamtuma Mtoto wako alete pilau au King Hazard kakuchanganya
Nko apa jirani anguJilan nashida na ww Jilan
aaagghhh sinaga shida "" mimi """[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona ule msemo waarabu wa pemba wajuana kwa vilemb unaaply sana kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona wanajf wamecharuka kweli kubebana.
Hahahaa vyote hivyo?Sawa niko njiani nimebeba ndizi parachichi na machungwa pia
Sawaaaagghhh sinaga shida "" mimi """
Unafuraaaaaahi mwenyewe,wengine ngoja tuendelee kuzishuhudia couple zinavyotengenezwa na kuchangia chochote.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa je!..ni mwendo wa kufaudu pilau tu leoHahahaa vyote hivyo?
okay poa"" have a 9c day""kwaleo naishia hapaSawa