Kwako kipimo cha mke bora ni kipi?

Interesting,,,I can't imagine maisha mnayoishi,,kweli baadhi ya ndoa Ni paradiso ndogo, MUNGU awabarikie zaidi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Interesting,,,ujitahidi kuendeleza mkuu ukipata muda

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Sala ya baba yetu uliye Mbinguni jina lako litukuzwe...uffalme wako ufike mapenzi yako yatimizwe duniani ,kama mbinguni..utupe leo mkate wetu wa kila siku...usitutie katika vishawishi..kwani wako ni ufalme na nguvu na utukufu pasipo mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wow!, what a beautiful couple Mungu awatunzie ndoa yenu ,mko vizurii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nimecheka sana mara anakula haraka haraka mara kukwamwa na mifupa dah kama ni kweli hii dunia Ina mambo mengi sana


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hahah kama umefurahi ni vyema cheka upate maisha marefu life ni stress sana
 
mzee mbaba uzi nimeupenda sana umejaribu kufikisha kile ulichoona kwako ni sahihi,lakn nafili kuna kitu hapo mzee ulikosea ukuweza kumfundisha ex wako maana kuna vitu kama ulikuwa uvipendi ungemweleza tu na yy ni binadamu inategemeana watu hali pata hayo makuzi ndo maana hakawa hvo ,binafsi mm napenda kuwa na mwanamke mwenye mapungufu sana tena sana maana hata mm ninayo yangu mengi tu,so kupitia mapungufu yetu nafikili tunaweza kaa levo moja maana,huwezi katika maisha pata kilicho bora kwa maana hakuna aliye bora zaid ya mwenziwe ni hayo.uzi wako uko powah nimejifunza kitu sana hapo asante mkuu.
 

Naomba niandike kwa herufi kubwa kumaanisha, usiogope..

MAPUNGUFU YAPO NA KUNA WATU AMBAO WANAREKEBISHIKA ILA SIO KILA MTU. NAKUHAKIKISHIA KUWA SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA HATA SIKU MOJA. .

MWANAMKE UKIMWAMBIA KAMA SIO MUELEWA BASI ANAFICHA MAKUCHA YAKE NDANI, KAMA PAKA VILE, HAIMANISHI YALE MAKUCHA HAYAPO. SASA UNAKUTA YALE MAMBO MENGINE ANAYAFICHA ILA SIKU AKIYACHOMOA UTASHANGAA. MWANZO WAKATI NAKUTANA NA EX MBONA HAKUNIONYESHA HAYO MAMBO. ILA BAADAE NIKAJA KUYAONA..

I BELIEVE EVERY ONE HAS A COMMON SENSE, THIS COMMON SENSE MAKES YOU ADAPT TO YOUR ENVIRONMENT. IF YOU GO TO A TOILET WITHOUT WASHING WATER BUT TOILET PAPER, YOU WILL DEFINITELY USE THE TOILET PAPER. YOU WONT LEAVE WITHOUT CLEANING YOURSELF BECAUSE YOU COULD NOT FIND WATER. JUST MY OPINION. .

Kama mwanaume au mwanamke ana roho mbaya na mchoyo, basi utamwambia na akiwa mbele yako atajifanya malaika. Sasa mwanamke wa namna hiyo namwogopa sana kwa sababu yale mambo niliyemsema nadhani atakuwa anayafanya nyuma ya pazia wakati mimi nadhani alibadilika. Aisee ni kitu mbaya sana, m,tu afiche makucha ila siku akiyatoa utashangazwa. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…